Uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba nyota wao wawili wamerejea kikosini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba.
Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa maandalizi pamoja na mipango inakwenda vizuri hivyo mashabiki wasiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa.
“Wachezaji waliokuwa majeruhi tayari wamerejea. Dickson Job pamoja na Abdalah Shaibu, ‘Ninja’ walikuwa na maumivu ila kwa sasa wanaendelea vizuri na wamerejea.
“Kuhusu maandalizi kiujumla yanaendelea vizuri hivyo mashabiki wasiwe na mashaka tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya watani wetu wa jadi ambao ni Simba,” amesema Bumbuli.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Hawa yanga wanatapatapa tu
Dakika90 zitaamua tu mbabe nani hauna haja ya maneno mengi
Yetu macho kusubiri tuone matokeo yatakuwaje
Ngoja tuone
Safi
Wataweza kweli