Kiungo wa kati wa Chelsea, N’Golo Kante anasisitiza anafurahi kuwepo klabuni hapo na anataka kupata wakati zaidi kuendelea kushinda Ligi ya Mabingwa na Blues.

Kante ameelezea angefurahi kufanya hivyo kwa kusisitiza anajisikia ‘vizuri’ kuendelea kuwepo kwenye klabu hiyo yenye makazi yake jijini London.

 

kante, Kante : Ninafuraha Kuendelea Kucheza Chelsea., Meridianbet

 

Kiungo huyo amebakiza miaka miwili kumaliza mkataba wake pale Darajani na inaelezwa kuwa Chelsea inataka kumuongeza mkataba kendelea kukitumikia kikosi hicho.

“Nimekuwa Chelsea kwa miaka 5, nimefurahia misimu mizuri hapa,” Kante alisema.
“Natumaini kuendelea kupata furaha ya ushindi zaidi pamoja. Sio kitu ambacho ninazingatia. Nina mkataba mwingine wa miaka miwili na Chelsea na ninajisikia vizuri. “

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa