Juni 16, 1967 alizaliwa kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Alizaliwa katika mjini Stuttgart katika mji mkuu wake wa Baden-Wurttemberg na kukulia katika kijiji cha Black Forest huko Glatten karibu na Freudenstadt akiwa na dada zake wawili.
Alianza kucheza kandanda katika timu ya vijana ya TuS Ergenzingen na baadaye FC Pforzheim. Alipotoka huko aliingia kucheza katika klabu tatu za mjini Frankfurt Eintracht Frankfurt II, Viktoria Sindlingen na Rot-Weiss Frankfurt.
Mwaka 1990 alicheza kwenye mchezo akiwa na Rot-Weiss dhidi ya Mainz 05 na kuipandisha ligi daraja la pili la Bungesliga. Katika mchezo huo ulimfanya kocha wa Mainz amwangalie kwa makini na klabu hiyo ilifikia makubaliano na Rot-Weiss kusakata kabumbu kwa wenyeji hao wa Mainz.

Katika miaka yake 15 Klopp ameitumikia klabu ya Mainz kabla ya kuwa meneja wa klabu hiyo. Alichukua mikoba ya kuinoa klabu hiyo mwaka 2001 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa kocha aliydumu muda mrefu kuinoa miamba hiyo ya Mainz. Katika kipindi chote Klopp alifanikiwa kuipandisha Bundesliga.
Mwaka 2008 alipata fursa ya kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Borussia Dortmund. Akiwa Signal Iduna Park aliiongoza kutwaa taji la Bundesliga mwaka 2011 na 2012 pia Kombe la Ligi la Ujerumani la DFB Pokali mwaka 2012, DFL Super Cup 2013 na 2014.
Mbali na hilo alifanikiwa kuifikisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuishia kushika nafasi ya pili mwaka 2013.
Klopp alitwaa tuzo ya Kocha Bora wa mwaka wa Ujerumani mwaka 2011 na 2012 kabla ya kuondoka nchini humo na kutimkia England mwaka 2015. Akiwa Dortmund nako aliweka rekodi ya kuwa kocha alaiyedumu muda mrefu kuiongoza BVB. Oktoba 2015 alitua katika viwanja vya Merseyside huko Anfield.
Itaendelea maisha ya Klopp ndani ya Liverpool…
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Hopemwaikuka
Nmeelewa nasubr muendelezo
Amiri Kayera
Kocha bora kabisa Ila Jana kadhalilika
Issa
Kocha mwenye rekod tamu anfield
Shani
Klopp anajua kaz yake
Saupha mohamed
Kocha anaejituma
Amani
Matokeo ya ajabu kayapata
Sauda
Ila Klopp anajitahidi.
David Pere
Klopp alitwaa tuzo ya Kocha Bora wa mwaka wa Ujerumani mwaka 2011 na 2012 kabla ya kuondoka nchini humo na kutimkia England mwaka 2015. Akiwa Dortmund nako aliweka rekodi ya kuwa kocha alaiyedumu muda mrefu kuiongoza BVB. Oktoba 2015 alitua katika viwanja vya Merseyside huko Anfield.
Aziza mushi
Kloppa anajitahidi Sanaa.
Dorophina
Klopp ni kocha mzuri sana lakini kwa kipigo cha juzi sijui aibu ataifutaje
Lydia Emmanuel Magoti
Hana ishu Kloop wamezingua Sana hao chuma saba sio mchezo
Caroline
Daah kumbe Klopp mkongwee
Tatu
Histolia yake sio mbaya ingawa jana kateleza kidogo
Magdalena
Klopp amekuwa na historia nzuri sana katika Soka Tangu anaanza mpaka sasa
Zeiyana
History yake kubwa klopp ni kocha wenye vigezo vyake
Angelina
Klopp yuko vizuri
Elika
Klopp kocha mzuri sana
Neema
Klopp yuko vizuri sana
Salma ngende
Ni kocha anaejuwa nn anafanya
Nasra
Klopp namkubali
Povel
Nice update
Fatuma kasomo
Yupo vizuri sana
aisha
Kocha mwenye histolia ambayo haitasahaulika
Sabrina
Klopp yuko vizuri
felister
historia ya goli 7🤣🤣🤣
Latifa juma mohamed
Kocha mwenye record nzuri anfield lkn juzi cjui waliteleza wapi
Samiah
Yupo vzr Klopp
Mwajumah
Klopp yupo vizuri sana
Fatina mfigi
Kopp yuko vizur
Rehema
Klopp anajitaid sana
Gabriel
Dortmund nako aliweka rekodi ya kuwa kocha alaiyedumu muda mrefu kuiongoza BVB