Shirika lisilo la kiserikali la Karibu Tanzania (KTO) kwa kushirikiana na TFF, linaendesha mafunzo ya siku 10 kwa makocha wanawake kutoka vyuo 43 vya maendeleo ya wananchi (FDCs), vinavyotekeleza program ya Mpira Fursa.
Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo walimu hao, kuweza kufundisha mpira wa miguu kwa wanawake katika vyuo vyao na sehemu nyinginezo, ikiwa ni katika utekelezaji wa programu ya Mpira Fursa.
Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na KTO, yanaendeshwa na wataalamu wa TFF yakiwa yanatambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF).
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Wamefanya Jambo jema sana
Wanawake na maendeleo
Ni habari njema sana hizi
Patamu hapo
Safi sana
Duuh patamu hapo
Wanawake wanaweza
Wasituaribie mpira
Wanawake na maendeleo
Duuh