Baada ya kushuhudia mechi nyingi zikicheza na zikiwa na ODDS nono wikiendi hii, Leo hii mzigo upo tena ambapo ukiwa na Meridianbet USSD unaweza kubashiri mechi utakazo na kujishindia pesa. Ruvu uso kwa uso na Yanga.

 

Kwa Kupiga *149*10# Ruvu & Yanga Wanakupa Mkwanja

Ruvu Shooting anamualika Yanga kwake huku timu hizo mara ya mwisho kukutana zilitoka sare ya bila kufungana. Yanga hajapoteza mpaka sasa wakati huo Ruvu amepoteza michezo miwili.

Ruvu amepewa ODDS ya 5.88, na Yanga amepewa ODDS ya 1.50 ambayo ni ODDS ya ushindi, na Sare kati yao imepewa ODDS ya 3.62. Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa majira ya saa 18:15.

Kwa Kupiga *149*10# Ruvu & Yanga Wanakupa Mkwanja

Leo leo pia matajiri wa jiji la Dar es salaam Azam FC baada ya kupoteza mechi iliyopita, majira ya saa 20:15  itazichapa na Singida Big Stars ambapo wote wana alama 8, japokuwa Singida ana mchezo mmoja mkononi.

Azam FC ana ODDS 1.57 akipewa nafasi kubwa ya ushindi, huku Singida mepewa ODDS ya 5.48, Sare ina 3.43.

Kupata pesa zaidi, unaweza kuongeza mechi nyingine ya kusisimua ambapo leo hii Ligi kuu ya Uingereza inaendelea kwa Leicester City na Nottingham Forest kucheza mchezo wao wa raundi ya 8. Brendan na vijana wake wapo nafasi ya 20 mkiani kabisa wakiwa hawajashinda mechi yoyote, na Nottingham wapo nafasi ya 19,

Nottinghham akiwa ugenini amepewa ODDS ya 4.11, na Leicester akiwa na ODDS ya 1.81 ya ushindi, Sare ina 3.77. Je Leicester anaweza kupata ushindi wake wa kwanza leo? Bashiri hapa ukiwa na Meridianbet USSD bila Intanet kwa ODDS bora zaidi na za kuvutia zaidi Tanzania nzima.

Kwa Kupiga *149*10# Ruvu & Yanga Wanakupa Mkwanja

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa