Leandro Trossard Huenda Akaikosa Liverpool

Mustakabali wa mshambuliaji wa Brighton Leandro Trossard kuhusika kwenye mchezo dhidi ya Liverpool unazidi kuwa wa mashaka kutokana na mshambuliaji huyo kuwa nje kutokana na jeraha. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Leandro Trossard

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji inasemekana amefanya mazoezi mbali na kikosi cha kwanza katika siku za hivi karibuni, ingawa amekuwa na jeraha kidogo la mguu.

Vyanzo vimedokeza kuwa kutohusika kwa Trossard katika mazoezi ni uamuzi uliochukuliwa na meneja Roberto De Zerbi huku kukiwa na wasiwasi juu ya tabia ya fowadi huyo.

Kocha De Zerbi atazungumzia mustakabali wa hivi karibuni wa Trossard atakapokabiliana na vyombo vya habari. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Walakini, kuna uwezekano mkubwa kwamba Trossard ataondoka kwenye kilabu mwezi huu au msimu wa joto.

Tottenham wana nia thabiti ya kumnunua Trossard na Brighton wanafahamu kuwa wapinzani wao wanafuatilia hali yake. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Mkataba wa Trossard unamalizika mwishoni mwa msimu huu, ingawa Seagulls wanadaiwa kuwa na chaguo la kuongeza mkataba wake kwa miezi 12.

Mbelgiji huyo pia aliondolewa kwenye kikosi cha Brighton ambacho kiliilaza Middlesbrough 5-1 kwenye Kombe la FA Jumamosi, ingawa De Zerbi alisisitiza kutokuwepo kwake kulitokana na majeraha.

Tangu ajiunge na Brighton mwaka 2019 akitokea Genk, Trossard amefunga mabao 25 ​​na kutoa asisti 14 katika mechi 121 alizoichezea klabu hiyo.  Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

Acha ujumbe