Ligi Kuu England 2026/27 Yapangwa, Arsenal, Chelsea Kukutana Mapema

Ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu England 2026/27 imetolewa rasmi leo Ijumaa, Juni 19, huku mashabiki wakianza kuhesabu siku kuelekea kuanza kwa ligi hiyo mnamo Agosti 21, 2026. Msimu huo unatarajiwa kuhitimishwa Mei 30, 2027 baada ya miezi kadhaa ya ushindani mkali kati ya timu bora nchini England.

Ligi Kuu England 2026/27 Yapangwa, Arsenal, Chelsea Kukutana MapemaPazia la msimu mpya litafunguliwa katika Uwanja wa Emirates ambapo mabingwa watetezi Arsenal watawakaribisha Coventry City siku ya Ijumaa, Agosti 21. “Ni mwanzo ambao kila shabiki wa Arsenal anatamani kuuona, mabingwa wakianza kampeni yao nyumbani mbele ya mashabiki wao,” ilieleza taarifa ya ratiba hiyo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Makamu bingwa Manchester City wataanza safari yao ya kusaka taji kwa mchezo wa nyumbani dhidi ya Bournemouth utakaochezwa Agosti 23, huku Manchester United wao wakisafiri kwenda kucheza dhidi ya Hull City siku moja kabla yake. Liverpool, Chelsea na Tottenham Hotspur zote zitaanza msimu kwa michezo ya ugenini dhidi ya Newcastle United, Fulham na Brentford mtawalia.

Ligi Kuu England 2026/27 Yapangwa, Arsenal, Chelsea Kukutana MapemaRatiba hiyo pia imeweka wazi kuwa mashabiki hawatasubiri muda mrefu kushuhudia mechi kubwa za ushindani. Katika raundi ya tatu ya ligi, Arsenal watavaana na Chelsea kwenye pambano linalotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi wa soka duniani.

Ligi Kuu England 2026/27 Yapangwa, Arsenal, Chelsea Kukutana MapemaMchezo huo mkubwa wa London Derby umepangwa kuchezwa Septemba 5, 2026 katika Uwanja wa Emirates.Hii ni moja ya mechi ambazo zinaweza kutoa mwelekeo wa mapema wa mbio za ubingwa,” wachambuzi wa soka wameeleza huku wakisubiri kwa hamu kuanza kwa msimu mpya wa EPL.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.