Mchezaji wa Portland Trail Blazer Damian Lillard alifanikiwa kufunga alama 34 katika mchezo wao dhidi ya Los Angeles Lakers iliyokuwa na staa wao hatari Lebron James.
Lillard aling’aa katika mchezo huo wa kwanza wa mashindano ya Mashariki katika michezo ya mtoano ilishuhudiwa Lakers ya Lebron ikiadhibiwa kwa Vikapu 100-93.
Cj McCollum alifunga alama 21 huku Jusuf Nurkic akichangia alama 16 huku akipata rebound 15, na Carmelo Anthony aliongeza alama nyingine 11 na rebound 10 waliungana na Lillard kuwa wachezaji waliong’aa katika mchezo huo.
Hassan Whiteside pia alifanikiwa kuzuia mipira ya hatari mara 5 huku akipata rebound 8 na kufunga alama 7.
Upande wa Lakers Lebron James alifunga alama 23, 17 boards na kutoa pasi 16, Anthony Davis alifanikiwa kufunga alama 28, huku 11 board na kuacha Kyle Kuzma akifunga alama 14.
Kwenye mchezo huo Blazers walishoot kwa asilimia 39.2 huku Lakers wakifanya hivyo kwa asilimia 35.1.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.
rama
Maoni:safii sana kwa ushindii
felister
hongera Lillard
Zeiyana
Ilikua bonge la gemu si la haina yake
David Pere
Jamaa wanatisha sanaa maana wapinzani hawakuamini kabisaa
Ester jackson
Safii sana vijana mmetisha sana
Neema
Pongezi kwao vijanaa
Sadick
Matokeo hayo yanazima ndoto za Lakers kushinda NBA#meridianbettz
Fatuma kasomo
Safi sana
Antony Luseno
Ulikuwa ni mchezo wa kuvutia sana
Latifa juma mohamed
Safi Sana Lillard.
Omary lukumbi
Ilikua ni game ya aina yake
Magdalena
safi sana lillard umetisha
Saupha mohamed
Hongera yao
Neema
Hongera yao jmn
Adelta
Hongera Sana vijana wako vizuri
@meridianbettz
Johnmary joel
Mpambano ulikuwa poa#meridianbett
Devotha
Thanks for update
gabriel
Nice update
Hope mwaikuka
Gud job
Edgar
Safi sana
Sabrina
Lillard yuko vizuri kinouma
farida ahmadi
Safiiii Sana Damian
Issa
La lakers ni moto
Shafii
Lillard alikua kwenye kiwango kizuri Sana kwenye hiyo mechi.
Povel
Lilikuwah bonge la mechi big up MVVP Lillard alikuwah kwny ubora wake sna congrats Lillard🏆🏆🏆
Janeflora malisa
Ulikuwa mchez mzr
Samiah
Vzr sana vijana
Theckla
Pongezi kwao
Nasra
Safi sana
Fatina mfingi
Nice
Ernest
Lakers naona wamerudi vibaya sana baada ya Corona
Khadija
Safi sana vijana mmetisha sana
Dorophina
Pongezi kwa upande wao
Mwanahamisi
Vizuri sana
aisha
Wanasitahili pongezi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana ulikuwa bonge la game yadizaini yake
Furahav
Nimekubali.
Amiri Kayera
Habar nzur
warda
Kile kichapo sio poa