Klabu ya Liverpool yatajiwa mrithi wa Wijnaldium baada ya mchezaji huyo kutajwa kutimkia huko Camp Neo klabuni Barcelona.

Mchezaji wa zamani wa Ajax, Sjaak Swart ameeleza kuwa mchezaji wa Manchester United Van De Beek atakuwa mrithi sahihi wa Wijnaldium pale Liverpool na atakuwa na mchango mkubwa endapo Liverpool watachukua saini ya mchezaji huyo.

Van De Beek alisajiliwa na United mwezi september mwaka jana kwa dau la dola milioni 35 tu na mpaka sasa amecheza mechi nne tu, huku akiingia kama “sub” katika mechi 36 na kufanikiwa kufunga goli moja na asisti moja tu.

Swart anadai kuwa Van De Beek alikuwa anacheza vyema sana pale Ajax kabla yakwenda United lakini wingi wa viungo wazuri United umelazimisha Beek apate ufinyu wa Namba. Ila akipata klabu nzuri basi bila shaka atang’aa zaidi.

Klabu kama Liverpool au Bayern Munich zinaweza kuwa sehemu sahihi sana kwa ajili ya mchezaji huyu na kuondoka kwa Wijnaldium klabuni hapo kunaweza kuwa nafasi ya Van De Beek Kung’aa.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa