Luiz Suarez Kwenye Rekodi Mpya Barcelona.

Kocha mkuu wa klabu ya Barcelona amemwagia sifa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchi ya Uruguay kwa kuingia kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote  baada ya kufungu bao la pekee lililoipa ushindi  timu ya Barcelona dhidi ya Espanyol siku ya Jumatano.

Suarez amefikisha jumla ya magoli 195 katika michezo 278 aliyocheza tangu ajiunge na Barcelona akitokea timu ya Liverpool mwaka 2014.

Ni wachezaji wawili pekee walikuwa wamefungia Barca magoli mengi – wa kwanza ni nyota wa kimataifa kutoka Argentina Nahodha Lionel Messi amefunga mabao 630 na wapili ni Cesar akiwa amefunga magoli 232, goli dhidi ya Espanyol siku ya Jumatano limemfanya Suarez awe mchezaji wa tatu kwa wachezaji wenye mabao mengi Camp Nou.

Kocha Setien amemsifu mchezaji huyo aliyetokea Premier League miaka sita iliyopita.

“Haikuwa kazi ngumu kwa Suarez  ambaye amekuwa katika kiwango kizuri sana siku za karibuni na kuendelea kufunga kila mchezo,” Setien aliwaambia waandishi.

“Ukiwa haujacheza kwa kipindi kirefu inahitaji muda kidigo kurudi kwenye fomu.”

“Suarez anajua kufunga amekuwa akionesha uwezo wake tangu aanze kucheza mpira, amefanya tena kitu kilicho mpeleka mpaka kwenye nafasi ya tatu ya wafungaji wa muda wote katika klabu ya Barcelona na huwezi acha kumpa pongezi kwa anacho kifanya.”

Barca wapo nyuma ya Madrid kwa tofauti ya alama moja ikiwa Real Madrid wanamchezo mkononi na wanajiandaa na mchezo dhidi ya Deportivo Alaves siku ya Ijumaa.

Barcelona ya Setien haijafungwa katika michezo tisa imeshinda mechi mfululizo ingawa walionekana kuzorota kwa kulazimishwa sare kabla ya kuwafunga Villarreal  4-1 na Espanyol 1-0.

Aidha katika mchezo dhidi ya Espanyol Ansu Fati alitolewa nje kwa kuoneshwa kadi nyekundu baada ya kuanza kwa kipindi cha pili wakati Pol Lozano wa Espanyol naye pia alitolewa kwa kadi nyekundu.

42 Komentara

    Suarez anajua ni fundi wa mpira

    Jibu

    Hongera sana suarez#Meridianbettz

    Jibu

    Barcelona hongera sana pia kocha wenu naye yupo vizuri

    Jibu

    Lion messi in hatari magol 630 pongezi sana Barcelona Luna vijana wanao jua mpira pongezi Luiz Suarez kwa kuingia kwenye orodha ya mfungaji bora ni nafasi muhimu sana ambayo wachezaji wengi wanatamani hilo

    Jibu

    Hongera suarez

    Jibu

    Luiz Suarez mpambanaji anahujua mpila

    Jibu

    Mimi naamini luiz suarez bdo ni mchezaji bora sana

    Jibu

    Luiz yupo vizuri sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Suarez anajua Sana..nategemea hatafanya makubwa zaidi#meridianbettz

    Jibu

    Luis Suarez ni mchezaji mzur na anajituma sana

    Jibu

    Suarez ukitaja washambuliaji kumi bora na yeye yumo

    Jibu

    Safi sana Suarez

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera Suarez

    Jibu

    Habar ya uyu kijana ime nifurahisha sana safi sanaa

    Jibu

    Surez mtu kwenye sekta ya kufunga jamaa anambinu nyingi sana jamaa akibanwa sana anaweza hata kung’ata mtu na kumtoa kwenye mcjezo ilimladi tu aweze kushinda

    Jibu

    Hongera surez#meridianbettz

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Suarez yuko vizuri Sana

    Jibu

    Suarez analijua goli

    Jibu

    Nilishangaa sana kwenye page nyingi za mashabiki wa Barca walikuwa wakishinikiza Barcelona kuachana na Suarez pamoja na Ratic wakati ni watu wenye mchango mkubwa sana kwenye Club ya Barcelona, Mashabiki muda mwingine tunakuwa wepesi sana kusahau mchango wa mchezaji kwenye timu husika.

    Jibu

    Safii sana Suarez hongera

    Jibu

    Suarez habar nyngne

    Jibu

    hongera sana Suarez

    Jibu

    Nice suarez

    Jibu

    Maoni:Suarez fundi wa mpira huyo jamaa anakipaji

    Jibu

    saf san

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Basi Suarez bichwa linakuwa kubwaaa#Meridianbettz

    Jibu

    Anajua San kufunga

    Jibu

    Pongezi kwakwe

    Jibu

    Suarez bado ataendelea kuonyesha makali yake endapo hataandamwa na majeruhi. Ana njaa ya kufunga#meridianbettz

    Jibu

    Luis Suarez ni staa wa Uruguay hatar sana ni mtu mwenye mbinu sana ukorofi wake kuna.muda una manufaa kwenye soka anakufanya mchezaj wa timu pinzan kukutoa kwenye mchezo pindi utakapo panik

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri anajituma

    Jibu

    Suarez ni mchezaji mzuri na anajua nn anafanya awapo uwanjani

    Jibu

    Ameweka Record ya kumaliza mpira wake pale Barcelona maana umri nao umeenda sa.naa

    Jibu

    Luis bado yupo vizuri

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Big up suarez

    Jibu

    Jamaa goli analijua sana yuko vizuri

    Jibu

    Hongera

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.