Ayoub Lyanga atakuwepo Azam FC hadi 2024, Hii ni baada ya kuongeza Mkataba wa miaka mingine miwili. Lyanga alijiunga na Azam FC mwaka 2020 Kwa mkataba wa miaka 2, akitokea Coastal Union.

lyanga, Lyanga Ajifunga Azam Hadi 2024, Meridianbet

Somo Linaendelea kwenye soka letu. Mapinduzi ya mikataba Kwa wachezaji inawezekana. Mara nyingi tumezowea kuona mchezaji akimaliza mkataba na kuanza mazungumzo upya na Klabu hiyo hiyo.

lyanga, Lyanga Ajifunga Azam Hadi 2024, Meridianbet

Azam FC wao imekuwa tofauti, baada ya kusaini mkataba mpya bali wanapanua/ongeza mkataba wa mchezaji. Makubaliano ni Siri yao. Ila kinachojulikana mara nyingi kwenye ongezeko la mikataba huwa na ongezeko la maslahi ya mchezaji na sio pesa mpya ya usajili.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa