Mahomes asaini mkataba wa miaka 10.

Nyota wa NFL Patrick Mahomes amesaini kandarasi ya miaka 10 na timu ya mpira ya Marekani ya Kansas City Chiefs ya thamani ya dola milioni 503.

Hii inakuwa ni kandarasi ya pesa nyingi zaidi kuwahi kusainiwa katika historia ya mchezo huo.

Mahomes asaini mkataba wa miaka 10.
 

Staa huyo mwenye umri wa miaka 24 ni mtoto wa Mchezaji wa zamani wa FNL Pat Mahomes.

Hii ikiwa ni kandarasi ya pesa nyingi zaidi katika historia ya mchezo huo. Nyota huyo ameamua kuendelea kubakia klabuni Kasansa City mpaka mwaka 2031.

Dili hilo kimevunja rekodi ya nyota mwingine wa NFL Mike Trout’s aliesaini mkataba wa dola milioni 425.5 na Klabu ya Los Angeles.


Bashiri mechi michezo mbalimbali na meridianbet

Jisajili Hapa

47 Komentara

    Ilo ni bonge la dili miaka kumi siyo mchezo

    Jibu

    Hii safii

    Jibu

    hili dili sio la kitoto hongera sana Patrick

    Jibu

    Hadi raha Dogo anajua sana huyu ndo mana mkataba mnono#Meridianbettz

    Jibu

    Amakweli asala roho pesa makalatasi.

    Jibu

    Crazy money!!!

    Jibu

    Inaelekea sio mchezaji wa kawaida mpaka miaka 10

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Ni mkataba mnono sana

    Jibu

    Inaonekana huyu mchezaji sio wa kawaida mkataba miaka 10 ,bonge la dili kijana yupo vizuri

    Jibu

    Jamaa katisha snaa

    Jibu

    Vzr sana

    Jibu

    Iko poa hii

    Jibu

    America football ni mchezo maarufu nchini Marekani ukifuatiwa na baseball na basketball hivyo NFL ni ligi inayotazamwa na watu wengi. Waswahili tunasema ameula#meridianbettz

    Jibu

    Katisha sana kijana

    Jibu

    Duh ni mkataba wa mda mrefu Sana.

    Jibu

    Hongera mahomes bonge la dili

    Jibu

    Maoni:Inapendeza sana

    Jibu

    Hapana chezea bonge la dili

    Jibu

    duh kajifunga sana

    Jibu

    Wamemuamini sana kutokana na juhudi zake

    Jibu

    Huu mkataba unaitwa nice nao

    Jibu

    Maamuzi mazuri hawajakosea wako sahihi kumsajili

    Jibu

    Amekula bingo dilli la maana sio mchezo

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki Wake & timu nzima kwa ujumla

    Jibu

    Kweli michezo inalipa

    Jibu

    NFL ni ligi inayotazamwa na watu wengi. #meridianbettz

    Jibu

    Safi dogo anajua sana

    Jibu

    Habari njema Sana hizi akaze Buti ili afike mbali zaidi

    Jibu

    Bonge la dili kwa upande wake mkwanja mrefu huo sio masihara

    Jibu

    hongera mahomes

    Jibu

    hongera mahomes

    Jibu

    Nice#Meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hongera mahomes

    Jibu

    Duu jamaha katisha sana

    Jibu

    Hongera sana broo miaka kunmi sio mchezo

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi

    Jibu

    bonge la dili miaka kumi mkwanja wake sio poa

    Jibu

    Noma SANA hyo hiii

    Jibu

    Mkwanja wake cyopoa bonge la dili

    Jibu

    saf san

    Jibu

    Hii iko poa

    Jibu

    Bonge la dili nono pia ukiangalia na mri wake bado hunaruusu

    Jibu

    Duh wameamua wamfungie kabx

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.