Makonda Akagua  Ukarabati Wa Viwanja vya Mkapa na Uhuru Kwa ajili ya AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ukarabati unaoendelea katika viwanja vya michezo vya Benjamin Mkapa na Uhuru jijini Dar es Salaam.

Makonda Akagua  Ukarabati Wa Viwanja vya Mkapa na Uhuru Kwa ajili ya AFCON 2027Katika ukaguzi huo uliofanyika Machi 13, 2026, Makonda alitembelea Uwanja wa Benjamin Mkapa na kujionea maendeleo ya kazi mbalimbali zinazofanyika, ikiwemo zoezi la ufungaji wa viti vipya katika majukwaa ya uwanja huo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Makonda Akagua  Ukarabati Wa Viwanja vya Mkapa na Uhuru Kwa ajili ya AFCON 2027Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Makonda amemtaka mkandarasi anayesimamia mradi huo kuongeza kasi ya kazi ili kukamilisha ufungaji wa viti kwa wakati uliopangwa.

Amesema kukamilika kwa maboresho hayo kutasaidia uwanja huo kuwa na hadhi ya kimataifa na kuweza kutumika katika mashindano makubwa ya michezo pamoja na matukio mengine muhimu ya kitaifa.

Makonda Akagua  Ukarabati Wa Viwanja vya Mkapa na Uhuru Kwa ajili ya AFCON 2027Aidha, Makonda amesisitiza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya michezo nchini ili kuhakikisha Tanzania inakuwa na viwanja vinavyokidhi viwango vya kimataifa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.