Manchester City Waongoza Mbio za Kumnasa Elliot Anderson

Manchester City imeibuka kinara katika mbio za kuwania saini ya kiungo chipukizi wa Nottingham Forest, Elliot Anderson, huku vigogo wengine wa Ligi Kuu England, Manchester United na Arsenal, nao wakionyesha kuvutiwa na huduma za nyota huyo.

Manchester City Waongoza Mbio za Kumnasa Elliot AndersonAnderson ameendelea kuvutia macho ya vilabu vikubwa kutokana na kiwango chake bora alichokionyesha msimu huu akiwa na Nottingham Forest, ambapo ameonekana kuwa mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi hicho.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

“Manchester City kwa sasa inaonekana kuwa mbele katika harakati za kumsajili Elliot Anderson, licha ya ushindani mkali kutoka Manchester United na Arsenal,” zimeeleza taarifa kutoka vyanzo vya usajili nchini England.

Manchester City Waongoza Mbio za Kumnasa Elliot AndersonHata hivyo, Nottingham Forest haionekani kuwa tayari kumuachia kirahisi kiungo huyo, kwani inadaiwa kuweka thamani ya zaidi ya pauni milioni 100 kwa mchezaji huyo mwenye uwezo mkubwa wa baadaye.

Manchester City Waongoza Mbio za Kumnasa Elliot Anderson“Forest wanaamini Anderson ni sehemu muhimu ya mipango yao ya muda mrefu, jambo linaloeleza kwa nini wameweka dau kubwa kwa yeyote anayetaka huduma zake.” Ushindani wa kuwania saini yake unatarajiwa kuongezeka kadri dirisha la usajili wa majira ya kiangazi linavyokaribia kufunguliwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.