Manchester City Yampa Heshima Pep Guardiola Etihad

Klabu ya Manchester City imethibitisha kuwa jukwaa jipya la Kaskazini ndani ya Uwanja wa Etihad Stadium sasa litajulikana kama “The Pep Guardiola Stand” kwa heshima ya kocha wao mkuu, Pep Guardiola.

Manchester City Yampa Heshima Pep Guardiola EtihadUamuzi huo umeelezwa kuwa ni ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Guardiola ambaye ameiongoza City kwa kipindi cha miaka 10 yenye mafanikio makubwa katika historia ya klabu hiyo ya England.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Jukwaa hilo lililofanyiwa upanuzi linatarajiwa kufunguliwa rasmi kwa uwezo wake wote Jumapili hii, wakati Manchester City itakapowakaribisha Aston Villa katika mchezo wa mwisho wa Guardiola akiwa kocha wa timu hiyo.

Manchester City Yampa Heshima Pep Guardiola EtihadKatika kipindi chake ndani ya City, Guardiola ameisaidia timu hiyo kutwaa mataji mbalimbali ya ndani na kimataifa, huku akitajwa kuwa mmoja wa makocha walioibadilisha zaidi klabu hiyo kisoka na kiushindani.

Manchester City Yampa Heshima Pep Guardiola Etihad“Kuitwa kwa jukwaa hili kwa jina la Pep Guardiola ni sehemu ya kuthamini mchango wake mkubwa na mafanikio aliyoiwekea Manchester City kwa miaka yote aliyohudumu klabuni,” ilieleza taarifa ya klabu hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.