Manchester United Yapanga Kumnasa Bastoni Kutoka Inter Milan

Klabu ya Manchester United inadaiwa kujiandaa kutumia nafasi ya Barcelona kushindwa kufikia kiwango cha fedha kinachohitajika na Inter Milan kwa ajili ya beki wa kati wa Italia, Alessandro Bastoni.

Manchester United Yapanga Kumnasa Bastoni Kutoka Inter MilaKwa mujibu wa taarifa kutoka Fichajes, United inaamini hali hiyo inaweza kuwapa nafasi nzuri ya kuingia haraka kwenye mazungumzo na kukamilisha dili hilo kabla ya klabu nyingine kubwa Ulaya kuingilia kati.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Bastoni, mwenye umri wa miaka 23, ameendelea kuvutia timu mbalimbali kutokana na uwezo wake mkubwa wa kucheza katika safu ya ulinzi pamoja na uwezo wa kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma. Uongozi wa United unaonekana kuweka kipaumbele kuimarisha safu ya ulinzi kuelekea msimu ujao baada ya kukumbwa na matatizo ya majeraha pamoja na kutoridhishwa na kiwango cha baadhi ya mabeki waliopo kikosini.

Manchester United Yapanga Kumnasa Bastoni Kutoka Inter Milan“Bastoni anaonekana kuwa sehemu muhimu ya mpango wa muda mrefu wa Manchester United kutokana na uzoefu wake mkubwa licha ya umri wake mdogo,” zilisema taarifa hizo.

Manchester United Yapanga Kumnasa Bastoni Kutoka Inter MilaHata hivyo, Inter Milan bado haijaonyesha utayari wa kumuuza kirahisi nyota huyo wa Italia kutokana na umuhimu wake mkubwa ndani ya kikosi hicho. Ikiwa dili hilo litakamilika, Bastoni anaweza kuwa miongoni mwa usajili mkubwa wa United katika dirisha lijalo la usajili.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.