Bondia McGregor wa Uingereza ameendelea kushikilia dhamira yake ya kutamani kununua Manchester United. Mpira wa miguu licha tu ya kuwa sehemu ya burudani lakini pia imekuwa ni biashara yenye pesa sana duniani. Pesa hizo hizo zinazozalishwa na mpira wa miguu, zinasababisha watu wengi kutamani kuwekeza kwenye soka!

Kumekuwa na jitihada nyingi za mashabiki wa Manchester United kutaka familia ya Glazers iachie umiliki wa klabu hiyo, hivyo huenda kuibuka kwa matakwa ya McGregor kununua klabu hiyo yakafanikiwa.

Conor anasema anatamani kuwekeza pesa nyingi sana kwenye soka na miongoni mwa timu anazotamani kumiliki ni Manchester United na Celtic. Mapenzi makubwa aliyonayo kwa United yanaonekana kumuendesha Conor na anatamani kumiliki.

Katika moja ya tweets za bondia huyo, Conor alisema “ninatamani kumiliki moja ya klabu kubwa duniani, Celtic na Manchester United na zinaweza kuwa miongoni mwa klabu hizo. Nahisi naweza kufanya makubwa kama nikipewa nafasi”

Je, mashabiki wa United wanasemaje? Ni wakati wa Conor kupewa umiliki wa United?


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

McGregor, McGregor Atamani Kufanya Makubwa Akinunua United, Meridianbet

CHEZA HAPA

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa