Wachezaji wawili wa Miami Heat, Bam Adebayo na Goran Dragic watakaa nje kwa mchezo wa fainali za NBA dhidi ya Los Angeles Lakers siku ya Ijumaa.
Mchezaji wa kati wa Heat Adebayo aliachwa kwenye kipindi cha tatu cha mchezo wa kwanza mchezo ambao Heat ilipoteza kwa 116-98 baada ya kuumia shingo na alikuwa kwenye shaka, mjini Orlando,Frolida.
Msambaza mipira Dragic naye pia aliwekwa kwenye shaka kutokana na kupata tatizo kwenye mguu wake wa kushoto na wote wawili hawatocheza katika mchezo wa pili huko Walt Disney World Resort.
“Hawa watu wawili ni wazuri sana…. wote wanaushawishi mkubwa mchezoni, lakini mwishowe tumefikia uamuzi ambao upo nje ya uwezo wetu,Alisema kocha mkuu Erik Spoelstra.
Kutokana na taarifa zilizopo, Adebayo na Dragic wanatumainiwa kurejea katika mchezo wa tatu siku ya Juamapili.
Jimmy Butler alicheza licha ya vifundo vyake vya miguu yote kupata tatizo katika mfululizo wa michezo ya ufunguzi na Heat wataanza kucheza tena siku ya Ijumaa.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!
magdalena
duh sasa mbona ishakuwa balaa wakati mambo ndo yapo mwishoni
Dorophina
Wamepata pengo kubwa kwa Lakers tena wachezaji wawili wote tegemezi
Fatina mfigi
Duuuh
felister
pole yao
Caroline
Soo saad
Mwajumah
Pole yao
Shani
Si poa
Venerose
Poleni sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yao Mambo ya shalibika Sasa watu hao kuwanjee
Elika
Pole sana
Adelta
Mhmh pole Sana
Tatu
Pole yake
Amiri Kayera
Bado lakin wanawachezaj wazur
Sauda
Wameanza vizuri, wanaharibu mwishoni
Hopemwaikuka
Watacheza zngne
Zeiyana
Habari mbaya kwa mashabiki wa Lakers
Hidaya
Mwanzo ulikuwa mzuri sana
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
aisha
Pole sana
Issa
Ni pengo kwa miam lakers kama watakua wamepumua kwa ukosekanaj wa adebayor
Povel
Nice update
Marry Mushi
asante kwa taarifa
Mariam mtandama
Pole yake
Fatuma kasomo
Pole yake
Rehema
Pole yake
Latifa juma mohamed
Hawa watu wawili ni wazuri sanaβ¦. wote wanaushawishi mkubwa mchezoni, lakini mwishowe club imefikiauamuzi ambao upo nje ya uwezo wao.
Saupha mohamed
Pole yake
Gabriel
pengo kubwa kwa Lakers
farida ahmadi
Pengo kubwa Sana
Asia Abdy
Daah pole yao
Rose kapinga
Hatar sana
Sabrina
Duuh sio poa
David Pere
Hawa watu wawili ni wazuri sanaβ¦. wote wanaushawishi mkubwa mchezoni, lakini mwishowe club imefikiauamuzi ambao upo nje ya uwezo wao.
Samiah
Hatar