Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya Atletico

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameonyesha hasira kali kufuatia uamuzi wa kubatilisha penati iliyotolewa kwa timu yake katika sare ya 1-1 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya UEFA Champions League.

Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya AtleticoTukio hilo lilitokea dakika za mwisho baada ya Eberechi Eze kuangushwa ndani ya boksi na beki David Hancko, ambapo mwamuzi Danny Makkelie alitoa penati kabla ya kubadilisha uamuzi wake baada ya VAR kuingilia kati.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Arteta alisema kwa hasira “Ninachokasirishwa nacho ni jinsi gani penati ya Eze imefutwa kwa namna ilivyofanyika. Hii inabadilisha kabisa mwelekeo wa mchezo katika kiwango hiki.”

Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya AtleticoAliongeza kuwa “Tumewekeza nguvu nyingi kwa miezi tisa kufika hapa, haiwezekani kitu kama hiki kitokee katika hatua hii muhimu.”

Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya AtleticoArsenal walitangulia kwa bao kupitia penati ya Viktor Gyökeres baada ya Hancko kumchezea rafu, kabla ya Julian Alvarez kusawazisha kupitia penati nyingine mapema kipindi cha pili baada ya VAR kuthibitisha mpira wa mkono wa Ben White.

Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya AtleticoKwa upande wake, kocha wa Atletico Diego Simeone alisema anaunga mkono matumizi ya VAR, akisema: VAR wakati mwingine inatoa na wakati mwingine inachukua, lakini lazima tukubali maamuzi yake.”

Mikel Arteta Alaani Maamuzi ya VAR Kukataa Penati UCL Dhidi ya AtleticoMatokeo hayo yanaacha kila kitu wazi kabla ya mchezo wa marudiano utakaochezwa London, huku timu zote mbili zikisaka kufuzu fainali ya kwanza ya Champions League katika historia yao. Simeone alihitimisha akisema “Tunakwenda London na matumaini makubwa, tutapigana kwa kila kitu tulichonacho.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.