Mohamed Salah Aweka Historia, Afikisha Mabao 50 Ligi ya Mabingwa Ulaya

Nyota wa Liverpool FC na timu ya taifa ya Egypt, Mohamed Salah, ameandika historia baada ya kufikisha mabao 50 katika michuano ya UEFA Champions League.

Mohamed Salah Aweka Historia, Afikisha Mabao 50 Ligi ya Mabingwa UlayaKwa mafanikio hayo, Salah anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka bara la Afrika kufikia idadi hiyo ya mabao katika mashindano hayo makubwa barani Ulaya, hatua inayodhihirisha ubora na mchango wake mkubwa katika soka la kimataifa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Mshambuliaji huyo amekuwa na mchango mkubwa kwa Liverpool katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, akifunga mabao muhimu yaliyosaidia timu hiyo kufikia hatua mbalimbali za ushindani, ikiwemo kushinda taji hilo mwaka 2019.

Mohamed Salah Aweka Historia, Afikisha Mabao 50 Ligi ya Mabingwa UlayaUbora wa Salah umeendelea kung’ara kwa miaka kadhaa sasa, akiwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi duniani kutokana na kasi, uwezo wa kufunga na ubunifu wake uwanjani.

Mohamed Salah Aweka Historia, Afikisha Mabao 50 Ligi ya Mabingwa UlayaRekodi hiyo mpya inaongeza heshima kwa soka la Afrika, huku Salah akiendelea kuwa chanzo cha hamasa kwa wachezaji wengi chipukizi barani humo wanaotamani kufikia mafanikio makubwa katika soka la kimataifa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.