Klabu ya Monaco imethibitisha kwamba haitamuongeza mkataba mpya kiungo Cesc Fabregas na mkataba wake wa sasa utaacha kufanya kazi mwisho wa mwezi huu.

Monaco Yathibitisha Kuachana na Fabregas

Fabregas(35) ambaye aliwahi kuvichezea vilabu vya Barcelona, Arsenal na Chelsea amekuwa akipambana na majeraha msimu uliyoisha hali iliyopelekea Monaco kutomuongeza muda baada ya kandarasi yake kuacha kufanya kazi.

Mchezaji huyo kimataifa wa Hispania alitua Monaco mwaka 2019 akitokea Chelsea lakini sasa anaondoka Stade Louis lakini yeye mwenyewe amedai bado ataendelea kucheza soka licha ya kukabiliwa na majeraha msimu uliyoisha.

“Tunamshukuru Cesc Fabregas kwa mchango wake na muda wake na klabu hii tunamtakia kila heri kwa maisha yake ya baadaye. Asante sana Fabregas!


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa