Mpanzu Aeleza Sababu ya Kuongeza Mkataba na Simba SC

Mshambuliaji wa Simba SC, Elie Mpanzu, amefunguka hadharani kuhusu sababu iliyomshawishi kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo, akitaja upendo mkubwa kutoka kwa mashabiki kuwa ndio chachu kuu ya uamuzi wake.

Mpanzu Aeleza Sababu ya Kuongeza Mkataba na Simba SCMpanzu alieleza kuwa katika kipindi kigumu alichopitia, mashabiki wa Simba walimpa sapoti ya kipekee iliyompa nguvu ya kuendelea kupambana na kurejea kwenye kiwango chake.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Kupitia ujumbe wake, mshambuliaji huyo alisema “Nikiwa na machozi machoni mwangu ninawaandikia, wapenzi mashabiki wa Simba. Ninyi ndio wafuasi bora zaidi ambao nimewahi kukutana nao.”

Mpanzu Aeleza Sababu ya Kuongeza Mkataba na Simba SCAliendelea kwa kusema “Nataka kuwashukuru kutoka moyoni mwangu kwa msaada wenu usioyumba, licha ya nyakati ngumu ambazo nimepitia. Mmekuwa mkiniamini kila wakati.”

Mpanzu Aeleza Sababu ya Kuongeza Mkataba na Simba SCKwa kumalizia, Mpanzu alisisitiza uamuzi wake wa kubaki klabuni hapo akisema “Ndiyo maana nimeamua kutowasaliti na kuendelea na klabu. Ninawapenda nyote sana na ninawaahidi mambo mema katika siku zijazo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.