Mshahara wa Neymar Al Hilal| Bil 1.2 kwa Siku

neymar

Usajili wa Staa wa Kibrazil Neymar Jr kutoka klabu ya Paris Saint-German (PSG) kwenda Al Hilal ya Saudia umegusa hisia za wengi kutokana na mambo kadhaa kwenye mkataba wake. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Katika mkataba wake na klabu hiyo, staa huyo atavuna kama ifuatavyo. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

📌Mshahara kwa Mwaka Bil 411
📌Kwa Mwezi ni Bil 33
📌Kwa Wiki ni Tsh Bil 8
📌Kwa Siku Tsh Bil 1.2
📌Kwa Saa 1 Tsh 46.8m
📌Kwa Dakika Tsh 785k
📌Kwa Sekunde Tsh 13071.32

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 

NEYMAR
Neymar akiwa na uzi wa PSG kabla ya kusajiliwa na na Al Hilal

NJE NA MSHAHARA

📌Lakini pia Neymar Jr Kapewa ndege ya binafsi/Private Jet

📌Kapewa Jumba/Kasri na wafanyakazi wake ndani

📌Kila Al Hilal wakishinda mechi akiwa uwanjani anapewa bonasi ya £80k ambayo ni sawa na Milioni 200

📌Kwa kila post atakayopost kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Al Hilal au Saudi Arabia Pro League anapewa £200k sawa na Bil 1.36

Neymar Jr anaenda kuungana na Mastaa wengi waliocheza soka la ushindani Ulaya kama vile Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo, Karim Benzema, Sadio Mane, Khalidou Koulibally, Firminho, Henderson, Kante, Eduardo Mendy, Saint Maximin, Ruben Nevez, Riyard Mahrez na wengine wengi. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe