Mwakinyo ”Poleni sana baadhi ya washabiki mulio shitushwa na taarfa za kuvuliwa mkanda… hio ndio tanzania haonekani ubora na thamani ya unachofanya na ukibatika wata kuongelea vizuri ukiwa umekufa au huwezi tena kufanya ulicho fanya

Ukweli ni kwamba mkanda ni kama zawadi na haina thamani ya kuuza popote ukapata hela kiasi mtu aone nimepata hasara sana kupoteza la hasha ila ina heshima yake kama vikombe kwenye mpira.

Kwa kuongezea Mwakinyo alisema Hili jambo kuna watu wanalielezea kwa namna ya chuki na roho mbaya kwa namna watakavyo wao wakihisi naharbikiwa ila ukweli ni kwamba kwa wasio jua mkanda huo upo kwa ajili ya Africa tu na sio dunia.

Mwakinyo
Mwakinyo

Na hata ningekuwa nao hapa nilipo leo bado usingekuwa maana kwangu kama sitapigana na wenye rank kubwa zaidi yangu.


Ambapo kwa sasa focus yangu kubwa ni kupata nafasi ya kucheza mikanda mikubwa ya nafasi ninazo tamani kufika kidunia.

wanao amini watanikatisha tamaa poleni sana mimi sikatishwi tamaa na binaadam mpaka itakapo tokea siku MUNGU akafa na mimi utakuwa ndio mwisho wa matumaini yangu lakini sichoki sianguki na sishindwi haijalishi itanichukua muda gani kufika hakuna ane jua kesho yake tornado” Alisema Mwakinyo


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa