Kocha mkuu wa Bayern Munich Hansi Flick anasema anaweza kuelewa kwanini nyota anayetajwa kufukuziwa na Liverpool, Thiago Alcantara anataka Ligi Kuu.
Mkataba wa Thiago unaisha mwaka ujao na tayari mwenyekiti wa Bayern bwana Karl-Heinz Rummenigge alithibitisha mwezi uliopita kuwa kiungo huyo atawaacha mabingwa hawa wa Bundesliga.
Liverpool ndiye anayetajwa kuiwania saini ya staa huyu wa zamani wa Barcelona, wakati Paris Saint-Germain pia wakihusishwa na staa huyu wa Uhispania.
Bosi wa Bayern Flick alieleza kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa anataka kuhamia Uingereza, akionesha masikitiko yake juu ya staa huyu mwenye miaka 29 kutaka kuondoka.

Flick aliiambia Sport1: “Ninaweza kuelewa kuhusu shida ya mchezaji. Thiago alichezea Uhispania kwa FC Barcelona na Bundesliga kwa FC Bayern Munich.”
“Ikiwa anataka kujaribu tena kwenye Ligi Kuu Uingereza kwa sasa, ninamuelewa kabisa. Lakini itakuwa aibu kwa sababu Thiago anaongeza kitu fulani kwenye mchezo wetu.
“Ndiyo maana, kama kocha ningependa ningependa kuwa naye kwenye timu kwa miaka michache ijayo, lakini ndio maisha. Yataendelea.”
Bayern wataumana na Chelsea kwenye mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa ya muzunguko wa mwisho wa mtoano wa timu-16 Jumamosi na baada ya kushinda cha 3-0 kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza walipokutana na Stamford Bridge.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.
Saupha mohamed
Good news
Dorophina
Itakua poa sana km ataenda kweli liver hapo klabu inabidi kuchangamkia dili
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa kweri kamak Liverpool awakichangamkia Fusta iyoo
Samiah
Gud
Mwajumah
Asante kwa taarifa
Sauda
Makala bomba!!!
Shafii
Gud news.
Adelta
Asante kwa makala nzuri
#meridianbettz
felister
good news
Ester jackson
Ameshaona njia imenyooka sasa anaaza madaha nyie kapambaneni ili muwe mbali zaidi mana naona katika mchezo huu mmeshashinda tayari
Khadija
Makala pendwa#meridianbettz
Caroline
Thiago ameona mbali
Zeiyana
Thiago yupo vizuri
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Asia Abdy
Nice
Fatina mfingi
Makal nzur
Sadick
Thiago anataka baada ya kustaafu awe kumbukumbu ya kucheza Ligi 3 maarufu duniani EPL, BUNDESLIGA na LA LIGA. Namutakia kila la kheri EPL#meridianbettz
Furahav
Aende tu EPL.
Tatu
Asante kwa taarifa
Janeflora malisa
Good
Issa
Atatikisa liverpool
Hope mwaikuka
Kuna ktu Epl
JULIANA
Eti
Devotha
Good newz
Gabriel
Nice update 👍
Sabrina
Good news
Omary lukumbi
Ni huzun inampata kocha yoyote yule endapo anapo ikosa huduma ya thiago n mchezaj mahir sana
Zuhura omary kindamba
Habali njema
Neema juma
Ujumbe mzuri
Ernest
Kutua kwake ndani ya EPL kutaongeza CV kwenye historia yake ya soka na pia EPL ni ligi kubwa barani ulaya
Mwanahamisi
Makala bomba
aisha
Habari njema
magdalena
jambo jema sana
Amiri Kayera
Atapeleka changamoto
David Pere
EPL ni ligi Bora zaidi duniani kuliko nyingine
warda
Timu nyingi zinamkubali sana huyu jamaa