LICHA ya kuwepo kwa taarifa za kutaka kuweka kambi nje ya nchi, Uongozi wa Namungo umefunguka kuwa bado hawajafika muafaka wa wapi ambapo wataenda kuweka kambi kwa ajili ya msimu ujao.
Namungo
Namungo
Kikosi hicho kilichoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kwa msimu uliopita kilianza kambi tangu Julai 18 mwaka huu.

Mwenyekiti wa Namungo, Hassan Zidadu amesema kuwa hadi sasa bado hawajapata muafaka wa sehemu gani wataweka kambi kwa ajili ya msimu ujao.

“Kwanza tulifikiria kuipeleka timu Kigamboni au Manara na baadae tukawaza kuipeleka nje ya nchi huko Zambia, lakini bado tamati ya mjadala huu lakini tukiamua wapi patatufaa basi tutaweka wazi.”

 

Kwa Taarifa Zaidi Kuhusu Michezo na Uchambuzi Bofya Hapa Chini

👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa