Nike, imetoa mpira rasmi utakaotumika msimu ujao wa 2022/23 kwenye ligi kuu ya Uingereza(EPL), unaotarajiwa kuanza mwezi Agosti, unajulikana kama Nike Flight.

Nike

Msimu huu unakuwa wa 23 kwa kampuni hiyo kuwa kama msambazaji rasmi wa mpira kwa ligi kuu ya Uingereza huku tarehe 15 Julai rasmi mpira huo utaanza kuuzwa madukani.

Nike

Mpira huo wa NikFlight ulibuniwa na kampuni hiyo miaka 30 iliyopita na umeletwa tena ukiwa na rangi zie zile za awali.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa