NYOTA WA ZAMANI WA YANGA AVUJISHA SIRI ZA MERREIKH

Katika hatua nyingine Yanga wamepewa siri za wapinzani wao Al Merrikh na nyota wao, Patrick Sibomana ambaye amesema kwa namna ambavyo amewaona Wasudani hao wakicheza basi Yanga wana uhakika wa kupata ushindiyanga“Nimewatazama Al Merrikh wakiwa huku Rwanda ambapo walicheza mchezo wao wa kimataifa, kwa ambavyo Yanga nimewaona wanavyocheza naamini wanayo nafasi nzuri ya kufanya vyema mbele yao.

“Kwa mashabiki, wachezaji na viongozi wote wa Yanga niwakaribishe sana Rwanda, huku ni nyumbani kwao na niwahakikishie tu kwamba wasijisikie uvivu kuja na mimi nawatakia safari njema ya kuja huku,” alisema mchezaji huyo

Acha ujumbe