Oscar Garcia Afungishiwa Virago na Celta Vigo.

Oscar Garcia amefukuzwa na klabu ya Celta Vigo baada ya michezo tisa pekee msimu huu.

Celta Vigo wapo nafasi ya 17 mbele ya washika mkia kwa tofaauti ya alama moja wakiwa wamefanikiwa kushinda mchezo mmoja pekee nakukusanya alama 7 msimu unaondelea 2020-21.

Sare ya 1-1 dhidi ya Elche ili dhihirisha kuwa ndiyo mchezo wa mwisho kwa Oscar kuwa inchaji wa Celta Vigo.

Oscar Garcia Afungishiwa Virago na Celta Vigo.
Aliyekuwa kocha wa RC Celta, Oscar Garcia.

“Oscar Garcia Junyent na benchi lake la ufundi hawatohusika na ukufunzi kwa RC Celta,” taarifa ya klabu ilisomeka.

“Klabu inawasilisha shukrani kwa kocha wa Catalan na timu yake, kwa kazi, taaluma na jitihada ambayo wameonesha wakati wakiwa RC Celta Vigo, ambapo waliunganisha wasifu wa timu katika msimu mgumu wa LaLiga 2019-20.

“RC Celta inamtakia kila la kheri Oscar Garcia na wasaidizi wake vyote katika taaluma ya ke na yeye mwenyewe binafsi.

Osacr ametumia miezi 12 kuwa na Celta Vigo na kutetea timu hiyo kutoshuka daraja licha ya kushindwa kupata ushindi wowote katika michezo saba ya mwisho msimu 2019-20.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

22 Komentara

    Bora ata walivyomfukuza tu mm naona walikua wanamchelewesha tu maana mtu hana maajabu yoyote yale

    Jibu

    Kocha oscar Garcia amekuwah na matokeo mabaya Sana ndani ya celta vigo msimu huuu bodi ya celta wamefany maamuzi sahihi kufanya mabadiliko pengne panawez leta tija au mabadiliko ndani ya kikos Cha celta vigo ndani ya msimu huuu

    Jibu

    Mbona mambo hayo

    Jibu

    Bora aende tuu

    Jibu

    Aende tu mana anataka kuipeleka timu kubaya zaidi

    Jibu

    Wanemsamehe tu

    Jibu

    Celta Vigo imekuwa utopolo sana wanahaki ya kumfukuza kocha

    Jibu

    Timu inashindwa kupata ushindi nafasi ya Kocha inakuwa hatarini. Kwangu ndio kazi yenye pressure kabisa duniani

    Jibu

    Kila la kheri oscar garcia

    Jibu

    Celta vigo wamefanya mapema kumtimua

    Jibu

    Hii kali ya mwaka

    Jibu

    Jamanii sio poa kabsaa

    Jibu

    Asante kwa kushiriki Oscar tunakutakia kila la kheri

    Jibu

    Good news

    Jibu

    majanga ayo

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Duu hii Celta-Vigo sio poa mbona wamemchelewesha sana kocha

    Jibu

    celta vigo hawakutaka kabisa masihara wanataka kitu kizuri

    Jibu

    Osacar toka haingie clabuni celta virago hakuna mahajabu yoyote aliyo yafanya

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.