Post ya Edinson Cavani aliyoweka katika akaunti yake ya Instagram yenye maandishi ya kukera kufanyiwa uchunguzi na chama cha mpira nchini Uingereza (FA)

Mshambuliaji huyo wa timu ya Manchester United aliweka ujumbe katika insta story yake baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Southmapton wenye mandishi “mshindi wa upuaji wa mwisho.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay Cavani alitumia maandishi ya kihispania kuweka katika instagram stori yake kwa mashabiki na tangu ifutwe ameaambiwa ilikuwa na maandishi ya kukera.

FA imesema imetarifiwa na watalishughulikia hilo wakati pia United imeripotiwa kufuatilia posti hiyo.


Cavani alifunga mara mbili katika dimba la St Mary’s Stadium akitokea benchi kipindi cha pili cha mchezo, ushindi huo una muacha Ole Gunnar Solskjaer katika nafasi nzuri na kusimama katika nafasi ya nane akiwa na alama 16 na mchezo mkononi.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

INGIA MCHEZONI


16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa