Daniele Rugani na Dalbert wamejiunga na timu ya Rennes kwa mkopo wa muda mrefu na Rennes wanaendelea kukiimarisha kikosi kuelekea katika mashindano ya Champions League.
Rugani ambaye anacheza safu ya ulinzi alitua Rennes akitokea Juventus ambako alicheza mechi 101 katika mashindano yote na kufanikiwa kushinda kombe la Serie A mara tano pamoja na Coppa Italia katika fainali tatu.

Beki huyo wa kati alikuwa akipambania nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha Juventus ingawa alianza katika michezo 22 ya ligi misimu miwili iliyopita.
Rugani kwa sasa atatumia msimu 2020-21 kuwa Rennes kwa mkopo pamoja na Dalbert ambaye amekamilisha usajili wake akitoka klabu ya Inter.
Mbrazili huyo, ambaye alisema ameamua kujiunga na Rennes baada kuongea na mchezaji mwenzake wa zamani wa Victoria Guimaraes, winga Raphinha ambaye amerudi katika Ligue 1 baada ya hapo nyuma kuichezea klabu ya Nice.
“Ninafuraha kujiunga na klabu hii ya Rennes,” Dalbert aliiambia tovuti rasmi ya klabu hiyo ya Ufaransa. “Natumaini kuwa na msimu mzuri na wachezaji wenzangu.
“Uwepo wa Raphinha hapa, umechangia kwa kiasi kikubwa niliongea naye kabla akaniambia kuhusu maendeleo ya timu na uzuri wa jiji. Ninafuraha sana kuwa hapa.
Rennes wameuanza vyema msimu mpya kwa kujikusanyia alama 13 katika michezo mitano ya Ligue 1 na kukaa juu kwenye msimamo.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Povel
Kila la kheri RUgani kikubw kupata nafas ya kucheza katika timu yako ya zamani
Amiri Kayera
Wapamban San uwez wanao
Hopemwaikuka
Ni sawa tu
Fatuma kasomo
Habari njema
Issa
Safi kwa kuimarisha kikosi
Latifa juma mohamed
Habari murua.
Neema
Habarii safi kabisa
Theckla
Kila la kheri
Zahara omary
Safii snaa
Tumaini kasalile
Kila la kheri kwao
Asia Abdy
Wapambanaji hao
Adelta
Inapendeza sana
Aziza mushi
Wapambane tu.
Janeflora malisa
Safi
Ester jackson
Kila la heri
felister
safi
Lydia Emmanuel Magoti
Kila La kheri kwake
magdalena
kila la kheri kwao wakapambane ipasavyo ili wakake katika nafasi nzuri
Elika
Safi sana Mungu awabariki
Angelina
Kila kheri
Zeiyana
Ni jambo zuri kwa Rugani ujio wake kwa Mara ya pili clabuni hapo utareta manufaa makubwa
Rose kapinga
Wafanye kazi iliowapeleka kwa juhudi!!
Mwajumah
Kila la kheri
Shani
Mchezaji mahiri
Sadick
Pamoja na uchumi kuporomoka Vilabu vingi vimejitahidi kusajiri wachezaji wazuri kuimarisha vikosi#meridianbettz
Sabrina
Inapendeza kikosi kikiwa imara
David Pere
Rennes wameuanza vyema msimu mpya kwa kujikusanyia alama 13 katika michezo mitano ya Ligue 1 na kukaa juu kwenye msimamo.
Samiah
Gud
farida ahmadi
Habari njema Sana
Rehema
Safi
Gabriel
Habar njema 👍