Mshambuliaji nyota wa klabu ya Liverpool Sadio Mane kwa mara ya kwanza ameoneka akiwa na Jersey ya klabu ya Bayern Munich nchini Ujerumani ambapo leo alikuwa anafanyiwa vipimo vya afya.

Mane yuko yuko nchini ujerumani ili kukamilisha uhamisho wake, muda wowote kuanzia sasa anaweza kutambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Bayern Munich, pia kuna taarifa kuwa tayari ameshapingiwa picha session.

Sadio Mane

Sadio Mane uhamisho wake kwenda kwenye klabu ya Bayern Munich, unaenda kumfanya kuwa mchezaji wa Afrika anayelipwa zaidi kuliko yoyote kwa sasa.

Uhamisho wa Sadio Mane ni uhamisho wa tatu wa klabu ya Munich, baada ya kufanikisha Uhamisho wa beki wa kulia Noussair Mazraoui ambaye amejiunga kwa uhamisho huru akitokea Ajax huku usjiri mwingine ukiwa wa Ryan Gravenberch.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa