Timu ya Taifa ya Wasichana ya U-17 Serengeti Girls Itacheza na Zambia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwakani. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Timu hiyo ambayo mwaka jana ilishiriki kwa mara ya kwanza mashindano hayo na kucheza hadi robo fainali, itaanza kampeni hizo za kutaka kurejea kwa mara nyingine kwenye mashindano hayo.
Wakitoboa hapo watakutana na mshindi kati ya Uganda na Cameroon. Serengeti Girls watakuwa na hatua nne za kucheza hadi kupata tiketi hiyo, raundi ya kwanza itaanza kati ya Dec 8-10 na Desemba 15-18.
Raundi ya pili itachezwa Februari 2-4 na Februari 9-11 mwakani. Raundi ya tatu itachezwa Mei 11-13 na Mei 17-19 na hatua ya mwisho itapigwa June 14-16. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Tanzania ni kati ya timu nne kutoka Afrika zilizocheza Kombe la Dunia la mwaka Jana. Timu zingine ni Nigeria na Morocco. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Kocha Bakari Shime alisema kuwa: “Kuna kazi kubwa sana ambayo inabidi ifanyike ili kuweza kufikia lengo. Kama Serengeti Girls walifuzu mwaka jana inatakiwa warudi tena awamu ijayo. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
“Wale wa Tanzanite Queens wao pia inatakiwa tupambane waende Kombe la Dunia, huku Twiga Stars itatakiwa na wao waende Afcon. Kwahiyo kazi inabidi ifanyike sana na kwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa.”