Shaqiri "Clear" Kuwakabili Spain Katika Nations League.

Xherdan Shaqiri amepewa ruhusa ya kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Switzerland katika mchezo wa michuano ya Nations League utakao chezwa siku ya Jumamosi dhidi ya Spain mchezo uatakao pigwa jijini Madrid baada ya kupimwa tena na vipimo vikimuonesha hana maambukizi.

Winga huyo wa Liverpool mwanzoni alionekana ataikosa michezo miwili ambayo ni dhidi ya Spain na Germany baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya COVID-19, kitu kilichopelekea kuukosa mchezo wa kirafiki waliyofungwa 2-1 dhidi ya Croatia siku ya Jumatano.

Lakini, amepimwa tena vipimo vinaonesha hana tena maambukizi na amepewa ruhusa ya kusafiri mpaka nchini Hispania, ingawa uwezekano wa kucheza mchezo huo haujawekwa wazi.

Chama cha mpira cha Swiss Association kilithibitisha siku ya Ijumaa kwamba Shaqiri kwa sasa yupo sawa kwaajili ya kucheza.

Maelezo yalisomeka hivi: “Mamlaka za afya nchini Spain zimempa ruhusa mchezaji Xherdan Shaqiri kuingia nchini humo kwaajili ya kushiriki mchezo wa UEFA Nations League siku ya Jumamosi Oktoba 10, 2020 mchezo kati ya Spain na Switzerland jijini Madrid.

“Kwa kuongezeka kwa Shaqiri, wachezaji wote na watumishi wengine ndani ya timu wamepimwa na hawakukutwa na maambukizi jijini Madrid.”


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

31 Komentara

    Good newz

    Jibu

    Habari nzuri kwa Taifa la Switzerland

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Safi sana ila wanatakiwa wajitahidi kwasababu Spain sio ya mchezo mchezo

    Jibu

    spain wapo vizuri sana wanabidi wajipange vya kutosha

    Jibu

    Huu ugonjwa umekua too much kwa kweli

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Ni habari nzuri

    Jibu

    Xherdan Shaqiri ni moja ya viungo washambuliaji mahiri wenye nguvu tatizo hajapewa nafasi mara kwa mara kucheza #meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa timu yake ya taifa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari mzuri

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Taarifa imekaa powa sana hii

    Jibu

    habari nzuri

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni Jambo zuri

    Jibu

    Spain wamuangalie sana huyu mtu kwenye hi mechi

    Jibu

    Shakir amekua mchezaj muhim swistzland na uwepo wake utafany safu ya mabek spain kuwa makin

    Jibu

    Shaqiri mchezaj muhimu uwepo wake Kuna kitu kitaongezeka kwny NATIonl timu

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Habari safii

    Jibu

    Spain wapo vizuri

    Jibu

    Spain wapo vizuri sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Heshima kubwaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.