Meneja wa klabu ya Simba SC, Patrick Rweyemamu amethibitisha kuwa kiungo wao mshambuliaji Bernard Morrison hajasafiri na timu hiyo kwenda Afrika Kusini kutokana na kutokamilisha baadhi ya mambo yake

Patrick ameongeza kuwa nyota huyo anatarajia kusafiri ili kuungana na timu hiyo Afrika Kusini pindi atakapokamilisha taratibu zote

Kikosi Kamili kinachosafiri

Makipa:

Aishi Manula, Beno Kakolanya na Ally Salim

Mabeki:

Shomari Kapombe, Joash Onyango, Pascal Wawa, Ibrahim Ame, Erasto Nyoni,  Gadiel Michael, Mohamed Hussein,  Kennedy Juma na David Kameta.

simba, Simba Safarini, Morrison Abaki, Meridianbet

Viungo:

Jonas Mkude, Rally Bwalya, Mzamiru Yassin,  Luis Miquissone, Hassan Dilunga, Clatous Chama, Francis Kahata na Taddeo Lwanga.

Washambuliaji:

Medie Kagere, John Bocco, Ibrahim Ajib na Chris Mugalu.

Uongozi wa Simba umesema sababu iliyomfanya Morrison kushindwa kusafiri ni taratibu za hati ya kusafiria (visa), kwani raia kutoka Ghana anatakiwa kuingia Afrika Kusini akiwa na visa.

Simba
Bernard Morrison

Morrison yupo katika hatua za mwisho kukamilisha upatikanaji wa visa na huenda leo au kesho (Jumatano), akaanza safari ya kuungana na wenzake Afrika Kusini.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

simba, Simba Safarini, Morrison Abaki, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa