Boss wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate anajutia kushindwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuichezea klabu ya Manchester Uinited.

Meneja huyu wa Uingereza amecheza mechi zaidi ya 400 kwenye Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Middlesbrough. Pia amecheza mechi 57 za timu ya Taifa Uingereza.

Gareth Southgate amebainisha kuwa anajutia kutotimiza kutotimiza ndoto zake za tangia alipokuwa mtoto za kuichezea klabu ya Manchester United.


Gareth Southgate
Gareth Southgate

Tangia alipokuwa mtoto, bosi huyu alikuwa na mpango wa kuichezea klabu ya Man United katika soka lake la kulipwa. Hii ilikuwa ni moja kati ya ndoto zake mbili, nyingine ikiwa ni kuitumikia timu ya taifa, ndoto ambayo amefanikiwa.

Katika kufurahia kuichezea timu ya taifa, anasema mechi yake ya kwanza na timu ya taifa ya Uingereza ulikuwa ni wakati ambao hataweza kuusahau katika soka.

“Nilikuwa na malengo mawili. Nilitaka kuichezea Uingereza na Manchester United. Sikupata nafasi ya kuwachezea Manchester United, ni lengo moja kati ya mawili sio mbaya sana.”

-Gareth Southgate”

 


Ingia hapasasa kujumuika na kushinda Casino ya Meridianbet

 

 


63 MAONI

  1. Ametuonyesha mapenzi yake kwa Man Utd. Kwa sasa aweke bidii kwenye timu ya Taifa kuna vipaji vingi sana kuliko wakati mwingine wowote. Mashabiki wanataka kuona matokeo#meridianbettz

  2. ila sio shukuru umetimiza ndoto ya kuchezea timu ya taifa. maana uwenda ungechezea Manchester. ungekosa ya taifa yote yote ni sawa.

  3. Duu ingekua safi sana hyo moja ya club kubwa dunian na nchi uingereza ila sio mbaya sana ndoto moja wapo katimiza ya kuichezea timu ya taifa

  4. Mshika mawili moja umporonyoka unaona sasa kilicho mtokea garrth southgate alitaka ndoto zake mbili zitimie kitu ambacho hakukitimia sio mbaya kati ya ndoto mbili katimiza moja ya kuichezea timu yake ya taifa ya uingereza na kuwa boss wa timu wa uingereza safii kabisa

  5. Garrett South gate asikate tamaa kabisah kwani siku zote majuto ni mjukuu hivyo basi hana nafasi nyengine tena ya kuendeleza kuchukua ubingwa

  6. Maoni:Gareth Southgate asijute sn sio kila ndoto lazima itimie aendelee kuiendesha vzur timu ya taifa ifanye vizur

  7. Kila mwanadamu hua anandoto za kufika sehemu Fulani au kiwango Fulani katika maisha ila wahenga wanasema sio kila ndoto inatimia inamaana aliyo yafanya yanatosha

  8. Ni Jambo la kumhuzunisha bosi huyo Kwan umri umeshaenda tena hawezi kurud tena utoto na kuanza kucheza mpira kwan wakati wake umeshapita tena muda haurud nyuma

  9. Ndoto mja ulio ipata ndio ilikuwa ndoto yako ya halali na inaonekana hiyo ndiyo kilikuwa kipaumbele sana kuliko kuwa mcjezaji wa man united

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa