Beki wa kushoto wa Italia Leonardo Spinazzola ameanza kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na klabu ya Napoli kabla ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Beki wa zamani wa Roma Spinazzola yuko mbioni kuwa mchezaji mpya wa Napoli.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amewasili tu Villa Stuart mjini Rome ili kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na Partenopei kabla ya kusaini mkataba wake.



