Bondia raia wa Mexico Saul ‘Canelo’ Alvarez amesema kwamba anamiaka mingi ya kuendelea na mchezo wa masumbwi na hana fikra za kustaafu siku za usoni.

Suala la Kustaafu kwa Sasa Halipo Akilini mwa Canelo

Hizi ni habari njema kwa mashabiki wa mchezo wa ndondi lakini ni habari mbaya kwa mabondia sababu shughuli ya huyu mwamba inafahamika na apanga kuacha alama ya kipekee kwenye ngumi.

Canelo ambaye ana umri wa miaka 31 anatarajia kukabiliana na Dmitry Bivol mwezi Mei tarahe 7 moja ya mapambano ambayo anayachukulia kuwa litakuwa gumu sana.

Canelo amekuwa bingwa katika madaraja manne tofauti aliulizwa anajiona akiendelea kupigana kwa muda gani baada ya kukamilisha kila kitu kwenye mchezo huo alijibu:

“Nimatumaini ni muda mrefu sababu nitaukumbuka sana mchezo huu baada ya kustaafu kwa sasa labda nina miaka 6 au saba au zaidi sijui kwakweli.

Canelo ambaye anarekodi ya kucheza mapambano 57-1-2 aliendelea kuongelea mapenzi yake kwenye ndondi: “Napenda ndondi, napenda changamoto nahitaji kukamilisha kila kitu nahitaji kuwa kwenye kitabu cha rekodi kwenye ndondi. Ndi maana nipo hapa na ninapenda ninachofanya.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa