Tetesi zinasema, Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wanamuwinda nyota huyo pia.

Mshambuliaji wa kireno Cristiano Ronaldo, 37, amezungumza na kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson kuhusu hatma yake klabuni hapo katika mfululizo wa vikao vyao vya siri.

 

Cristiano Ronaldo

Tottenham Hotspur wanajiandaa kumsajili mlinda mlango wa West Brom na England Sam Johnstone baada ya Manchester United kuamua kuachana na mpango wake wa kumsajili kipa huyo.

Tetesi zinasema, Kiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba amefanya mazungumzo na Juventus kuhusu kurejea Turin mwishoni mwa msimu.

Tetesi zinasema, Meneja wa Brentford Thomas Frank anataka hatma ya baadaye ya kiungo wa Denmark Christian Eriksen, 30, iamuliwe kabla ya kumalizika kwa msimu.

Mlinzi wa Ajax na Argentina Nicolas Tagliafico, 29, anajiandaa kuondoka kwenye klabu yake hiyo ya Uholanzi mwishoni mwa msimu, licha ya mkataba wake kusalia mwaka mmoja zaidi.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, winga mfaransa Allan Saint-Maximin, 25, anasema hajioni akiondoka Newcastle msimu huu.

Kiungo wa Paris St-Germain muargentina Leandro Paredes amesema ana ndoto ya kuchezea Real Madrid.

Liverpool watampa mkataba mpya mlinzi muingereza Joe Gomez mwishoni mwa msimu licha ya kuzagaa kwa tetesi kuhusu hatma ya nyota huyo mwenye miaka 24 kwenye klabu hiyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa