Thierry Henry Asema, Aitaja Manchester United Bora Kuliko Liverpool FC Ulaya

Gwiji wa soka na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal FC, Thierry Henry, amezua mjadala mkubwa baada ya kudai kuwa Manchester United ni bora zaidi katika soka la Ulaya kuliko wapinzani wao Liverpool FC. Kauli hiyo imekuja wakati ambapo Liverpool wanaonekana kuwa na msimu mzuri zaidi.

Thierry Henry Asema, Aitaja Manchester United Bora Kuliko Liverpool FC UlayaHenry anaamini kuwa mfumo na historia ya Manchester United vinaendana zaidi na ushindani wa soka la Ulaya, akieleza kuwa timu hiyo ina “DNA” inayowapa uwezo wa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.Aidha, alieleza kuwa United wanaendelea kujenga utulivu wa kiufundi unaoweza kuwafanya kuwa tishio siku zijazo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

“Soka la Ulaya linaendana zaidi na mentality ya Manchester United,” alisema Thierry Henry, akisisitiza kuwa mfumo wa timu hiyo unawapa faida katika michuano ya kimataifa.

Thierry Henry Asema, Aitaja Manchester United Bora Kuliko Liverpool FC UlayaHenry pia aliongeza kuwa kama Manchester United wangekuwa wanashiriki UEFA Champions League msimu huu, anaamini wangefanya vizuri zaidi kuliko Liverpool FC chini ya kocha Arne Slot.

Thierry Henry Asema, Aitaja Manchester United Bora Kuliko Liverpool FC UlayaKauli hiyo imeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka, hasa wa Liverpool, huku wengi wakijiuliza kama kweli United wanaweza kurudi katika ubora wao wa zamani na kutawala tena soka la Ulaya.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.