Bondia wa zamani Mike Tyson ametaja mapambano yake magumu na alimtaja bondia Andrew Golota kama mpinzani mgumu kabisa kukutana naye wakati wa enzi zake.

Akishida taji lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 20 na miezi minne na siku 22 Iron Tyson alikuwa mpiganaji mdogo zaidi wa kwanza kutwaa mkanda wa Uzito mkubwa (Heavy weight)

Aliulizwa na Stephen Fulton Jr ni bondia yupi hatomsau kwa kuwa na upinzani mkali wakati wa kazi yake hiyo.

Tyson alijibu kwamba “Mimi, nilikuwa mgumu wakati naanza.”

Aliendelea kuzungumzia pambano lingine ambalo linamvutia akilini mwake kwa sababu ndilo pekee ambalo alivuta bangi – pambano lake dhidi ya Andrew Golota mwaka 2000.

“Haikuchukua muda mrefu,” alitania, akirejelea kujiondoa kwa Golota baada ya raundi ya kwanza.

“Nilidhani, bondia huyu sikuwa na haja ya kumfanyia mazoezi… yeye ni mwepesi sana.

Lakini pia aliyataja mapambano yote ambayo alipoteza kwamba yalikuwa magumu katika ndondi zake.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa