United Waamishia Mapambano Kwa Elliot Anderson

Manchester United wameanza kuonyesha dalili za kufanya mapinduzi makubwa kwenye safu yao ya kiungo baada ya taarifa kueleza kuwa wako tayari kuanza mazungumzo rasmi na Nottingham Forest kwa ajili ya nyota wao Elliot Anderson.

United Waamishia Mapambano Kwa Elliot Anderson

Kiungo huyo kijana ameibuka kuwa mmoja wa wachezaji waliovutia zaidi Premier League msimu huu kutokana na uwezo wake wa kucheza kwa utulivu, nguvu kubwa ya kukaba na akili ya kusoma mchezo. Ndiyo maana United wanaonekana kumuona kama sehemu muhimu ya mpango wao wa kujenga kikosi kipya.

Ripoti zinaeleza kuwa United wameamua kuharakisha mpango huo sasa baada ya Nottingham Forest kujihakikishia kubaki Premier League na kumaliza majukumu yao Ulaya. Hali hiyo imefungua mlango wa mazungumzo ambayo awali yalikuwa magumu kutokana na kutokuwa na uhakika wa uwepo kwenye ligi kwa msimu mpya.

United Waamishia Mapambano Kwa Elliot Anderson

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Ndani ya Old Trafford, mabadiliko makubwa yanatarajiwa kwenye safu ya kiungo. Casemiro anaelekea kuondoka huku hatma ya Manuel Ugarte nayo ikiwa bado haijawa wazi. Kutokana na hali hiyo, United wanahitaji kiungo mwenye nguvu mpya, uwezo wa kubeba majukumu mengi sifa ambazo Anderson anaonekana kuwa nazo.

United Waamishia Mapambano Kwa Elliot Anderson

Tofauti na usajili wa majina makubwa kwa ajili ya sifa pekee, Anderson anaonekana kama mchezaji wa mfumo. Ni aina ya kiungo anayesaidia timu kucheza kwa mpangilio, kutuliza mchezo na kuunganisha safu zote.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.