Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amebainisha kuwa ana wasi wasi juu ya mda ambao Eden Hazard ataendelea kusubiri kutokana na jeraha lake jingine.
Hazard amekuwa na kipindi kigumu kwa asilimia kubwa tangia alipofika Real Madrid, msimu huu bado hajaanza kucheza mechi yeyote.
Staa huyu alikuwa tayari kurejea baada ya kumaliza kuuguza jeraha lake la enka, na lakini akapata jeraha jingine la msuli mazoezini lililomfanya aikose mechi dhidi ya Real Valladolid Jumatano.

Zidane anafahamu kuwa changamoto ya jeraha la pili imemuudhi sana Hazard, lakini hafahamu kwa mda gani ataendelea kuwa nje ya uwanja. Lakini anatumaini wakati huu haitakuwa mda mrefu.
“Amekuwa nje kwa mda mrefu, sidhani kama na sasa itakuwa mda mrefu lakini siwezi kusema ni mda gani hasa.” -Zidane
“Amekasirika, kwa sababu alikuwa safi kabisa. Tulizungumzia hilo kwenye taarifa ya maandalizi ya mechi. Lakini amepata changamoto na mambo haya hutokea.” -Zidane
Madrid wanamtembelea Levant Jumapili, baada ya kukusanya pointi 7 kwenye mechi 3 walizocheza.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!
Ernest
Hazard kweli ameanza vibaya na Madrid
Khadija
Jamani hazard inakuwaje tena
Elika
Mwanzo mbaya huo
magdalena
duh hazard naye ana bahati mbaya kaanza msimu vibaya sana pole sana kwake
Dorophina
Hazard ameanza vibaya sana msimu huu maana majeraha yamemuandama sana
Adelta
Mashabiki wanampa pole kwa mwanzo mbaya
Lydia Emmanuel Magoti
Hazard mzunguko wake kanzanao vibaya anabati mbaya sana
Nasra
Huo ni mwanzo tu
Mariam mtandama
Duuuh
Fatina mfigi
Why??
Samira
Jamani wampe mda kidogo mi naamini harzad yupo vizuri
Janeflora malisa
Duh
Mwajumah
Harzad inakuaje tena jaman
Saupha mohamed
Kwa nini
felister
duh pole yake hazard
aisha
Hazard kiikweli kiwango chake kimeshuka sana
Hidaya
Mwanzo mgumu
Caroline
Hazard kaanza vibaya
Rose kapinga
Mwanzo wake haukua mzuri ila atakua sawa tuu!!
Mwanahamisi
Mwanzo mgumu
Sylvester
Hazard hajapata bahati ya kuwa vizuri pale Madrid toka alivyohamia akitokea Chelsea,namuombea afueni mapema ila pale atafute sehemu nyingine ya kucheza
Angelina
Kwwli mwanzo mbovu
Venerose
Mmmh
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Khadija
Asante kwa nakala
Fatuma kasomo
Duh noma
Amiri Kayera
Majelaha yatauwa soka lake
Neema
Mwanzo mgumu ila atakaa sawa
Rehema
Jamani
Flomena
Good
Sabrina
Duh Hazard ameyumbaa
David Pere
Zidane anafahamu kuwa changamoto ya jeraha la pili imemuudhi sana Hazard, lakini hafahamu kwa mda gani ataendelea kuwa nje ya uwanja. Lakini anatumaini wakati huu haitakuwa mda mrefu.
Sauda
Mwanzo mgumu kwa Hazard
Ester mmakasa
Daah! Wasiwasi lazima uwepo kwa zidane kutokana na hayo majeraha yanayomsumbua mchezaji wake.
Zeiyana
Mbadala wa hazard alikua bale lazima zidane hapate wasi wasi ukiangalia hazard toka ligi hianze hajapata bahati ya kuwa vizuri
Hopemwaikuka
Kwan bado anaumwa
Povel
Hazard tok ajiunge na Madrid anakuwah mtu wa majerah Sana waswahil husema Hana bahati na madrid
Shani
Mwanzo mgumu
Amani Maeda
Afya kwanza ni muhimu zaidi .
Issa
Hazard amekuwa kiwango cha chini.sana
Zahara Omary
Afya kwanza
Gabriel
Hazard kweli ameanza vibaya
Samiah
Duuuh
Genia Sikaluzwe
Hazard ameanza vibaya sana msimu huu maana majeraha yamemuandama san