COLLINS Opare nyota wa Dodoma Jiji anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuongeza makali kwenye safu ya ushambuliaji. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Raia huyo wa Ghana ni miongoni mwa washambuliaji wenye mchango mkubwa ndani ya Dodoma Jiji akiwa ametupia kambani mabao 9. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo wakiwa ugenini bao pekee la ushindi lilifungwa na Opare mwenye ushikaji mkubwa na Bernard Morrison nyota wa Yanga. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ubao uliposoma Yanga 4-2 Dodoma Jiji, Opare ni miongoni mwa nyota waliofunga. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.



