Yanga Yaonyesha Ubabe Kombe la CRDB Baada ya Kuichapa Polisi 7-1

Hatua ya 32 bora ya mashindano ya kombe la shirikisho la CRDB  2025/2026 iliendelea jana Machi 8, 2026 kwa michezo mbalimbali iliyochezwa katika viwanja tofauti nchini huku timu kadhaa zikifanikiwa kusonga mbele baada ya kupata ushindi muhimu.

Yanga Yaonyesha Ubabe Kombe la CRDB Baada ya Kuichapa Polisi 7-1

Katika michezo hiyo, Yanga sc iliibuka na ushindi mkubwa wa mabao 7-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo uliochezwa kwenye KMC Complex, Dar es Salaam. Nayo Azam FC iliibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza kwenye dimba la Azam Complex.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Yanga Yaonyesha Ubabe Kombe la CRDB Baada ya Kuichapa Polisi 7-1

Katika matokeo mengine ya kombe hilo, Mbeya City iliifunga Bandari Tanzania mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya. Fountain Gate FC ilishinda 2-1 dhidi ya Gunners FC, huku Mbuni FC ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Nayo Singida Black Stars iliifunga Songea United mabao 3-1, wakati Coastal Union ikiichapa Stand United mabao 4-1 na TMA Stars kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.