Zaniolo Ameichagua Atalanta Mbele ya Fiorentina

Kwa mujibu wa Sky Sport Italia, Nicolò Zaniolo ameichagua Atalanta badala ya Fiorentina, hivyo klabu hiyo inajitahidi kukubaliana na Galatasaray.

Zaniolo Ameichagua Atalanta Mbele ya Fiorentina

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia alitumia msimu huu kwa mkopo na Aston Villa, lakini timu hiyo ya EPL haikuchukua chaguo lao la kununua.

Pia alilazimika kukosa EURO 2024 kutokana na kupaya jeraha kwenye mguu wake, lakini atakuwa fiti kuanza kampeni mpya.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Zaniolo amedhamiria kurejea Serie A na hadi sasa kumekuwa na kinyang’anyiro kati ya Atalanta na Fiorentina, huku pande zote zikimpigia upatu kupitia wapambe wake.

Zaniolo Ameichagua Atalanta Mbele ya Fiorentina

Mtaalamu wa uhamisho wa Sky Sport Italia Gianluca Di Marzio anadai kwamba mchezaji huyo, ambaye leo anatimiza umri wa miaka 25, amefanya uamuzi wake na anataka kuhamia Bergamo.

Kuna uwezekano kuwa mkopo unaolipwa na chaguo la kununua ambalo linakuwa wajibu ikiwa masharti fulani yatatimizwa kwa jumla ya takriban €19m. Kuchagua La Dea pia kutamwezesha Zaniolo kucheza Ligi ya Mabingwa.

Acha ujumbe