Zidane Atajwa Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa

Baada ya kusubiri kwa muda wa siku 1,727 bila kuwa kwenye majukumu ya ukocha, gwiji wa soka Zinedine Zidane anaripotiwa kufikia makubaliano ya awali na shirikisho la soka French  kuchukua nafasi ya ukocha mkuu wa timu ya taifa ya timu ya taifa ya France.

Zidane Atajwa Kurithi Mikoba ya Deschamps UfaransaTaarifa zinaeleza kuwa Zidane anatarajiwa kuanza rasmi kazi hiyo baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la Dunia 2026, akimrithi Didier Deschamps ambaye ameiongoza timu hiyo tangu mwaka 2012.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Katika kipindi chake, Deschamps ameandika historia kwa kuiongoza Ufaransa kutwaa ubingwa wa kombe la Dunia 2018, pamoja na kuiweka timu hiyo katika ushindani mkubwa kimataifa.

Zidane Atajwa Kurithi Mikoba ya Deschamps UfaransaRais wa FFF, Philippe Diallo, amethibitisha kuwa tayari wana jina la kocha ajaye, huku Deschamps mwenyewe akisisitiza kuwa muda wake umefika mwisho ifikapo mwaka 2026.

Zidane Atajwa Kurithi Mikoba ya Deschamps UfaransaIwapo uteuzi huo utakamilika, Zidane atakabidhiwa jukumu zito la kuendeleza mafanikio ya “Les Bleus”, huku mashabiki wengi wakisubiri kuona kama ataweza kurudisha enzi ya mafanikio aliyowahi kuwa nayo akiwa mchezaji na kocha.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.