Kulingana na L’Equipe, Zinedine Zidane huenda akaondoka Real Madrid, na Juventus inabaki kuwa sehemu panapomkaribisha kocha huyo Mfaransa.
Vyanzo vya habari za michezo toka Ufaransa vinaripoti kwamba Zidane atakutana na Florentino Perez wiki hii na tangazo rasmi linalothibitisha kuondoka kwa kocha huyo linaweza kufuata baada ya mkutano wao.
Kawaida Perez hufanya mipango ya makocha kiindi cha masika kwa makocha wa Real Madrid, na ukweli ni kwamba hakufanya hivyo msimu huu, na inaonesha Zidane yuko mbioni kuondoka Santiago Bernabeu.
Real Madrid wameshindwa kushinda kombe hata moja msimu huu, kwa mara ya kwanza tangu 2009-10.
Wiki iliyopita Zidane alisema Real Madrid ingekuwa bora bila yeye, akidokeza kwamba ataondoka klabuni mwishoni mwa msimu.
Juventus wamehusishwa sana na kukaribisha huduma za nyota wao wa zamani, ambaye, mnamo 2001 wakati wa uchezaji wake, aliachana na Juve kujiunga na Merengues.
Andrea Pirlo alishinda Coppa Italia na Kombe la Super Italia msimu huu, lakini alikuwa na kipindi kigumu kumaliza nne bora, ambapo alifanikiwa kwenye mechi ya mwisho kabisa.
Hivyo, mpaka sasa Zidane anasubiri mawasiliano rasmi kutoka Juventus na kukamilisha mpango ambao uko mezani.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Habari njema