Beki wa kitasa wa Klabu ya Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungua mdomo wake kuelekea mchezo wa Jumamosi akiibua faili la staa wa Wekundu wa Msimbazi, Luis Miquissone.

ninja, Ninja Aibuka na Faili la Miquissone, Meridianbet

“Washambuliaji wote wa Simba nimewahi kukutana nao wala sina wasiwasi nao, kikubwa nawapa heshima tu kwa kuwa nao ni wazuri ila siwezi kuogopa lolote tukikutana wanajua hilo,” alisema Ninja.

“Pale Simba mtu ambaye sijawahi kukutana naye ni Miquissone tu lakini naye tayari najua jinsi gani ya kuweza kukabiliana naye, ni mchezaji mzuri ila hutakiwi kumpa nafasi ya kufanya uamuzi anaweza kuleta madhara.

Ninja

“Hao wengine ni kwamba kila hatua unatakiwa kuanza kuamua wewe kabla ya wao hawajaamua na hilo hata kocha wetu (Nesreddine Nabi) amekuwa akitusisitizia kwamba ni makosa beki kuacha mshambuliaji afanye uamuzi kabla yako na hili sio gumu kwangu na naamini hata kwa wenzangu,” alisema akiongeza anafurahia kuanza kuelewa kipi Nabi anataka kifanyike.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

ninja, Ninja Aibuka na Faili la Miquissone, Meridianbet

SOMA ZAIDI

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa