Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema wataingia kwa tahadhari kubwa katika mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, Mei 8  katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

niyonzima, Niyonzima: Tunawaheshimu Simba, Tutapambana, Meridianbet

Akizungumza na Meridianbet Sport, Niyonzima amesema mchezo huo ni muhimu kwani wanahitaji matokeo zaidi ya wapinzani wao ili kurudi katika mbio za  kulisaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Mchezo wetu dhidi ya Simba mara nyingi huwa mgumu sana, lakini soka lina matokeo matatu ambayo ni kushinda, kushindwa na kutoka sare, mwalimu ametueleza nini anataka wachezaji wote tunajua kwamba utakuwa mchezo mgumu,” alisema.

niyonzima, Niyonzima: Tunawaheshimu Simba, Tutapambana, Meridianbet

Niyonzima alisema mbinu walizopewa na Kocha wao Mkuu, Nassredine Nabi ambaye amekuwa akiwasisitiza kuongeza umakini kuhakikisha wanaondoka na pointi tatu katika kila mchezo ili kuongeza presha kwa Simba waliopo kileleni.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

niyonzima, Niyonzima: Tunawaheshimu Simba, Tutapambana, Meridianbet

SOMA ZAIDI

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa